Psalms 56:1

Kumtumaini Mungu

(Kwa Mwimbishaji: Mtindo Wa Njiwa Mkimya Wa Mbali. Utenzi Wa Daudi. Baada Ya Kukamatwa Na Wafilisti Huko Gathi)


1 aEe Mungu unihurumie, maana watu wananifuatia vikali;
mchana kutwa wanazidisha mashambulizi yao.
Copyright information for SwhKC